Huduma za usaidizi wa Usajili wa Biashara kwa Utaalamu Tanzania

V.A Business Consultants tuliopo mjini Dodoma, Tanzania, tunajihusisha na huduma za usaizidi wa usajili wa biashara, leseni na ufuataji wa sheria. Timu yetu ya wataalamu inasaidia wajasiriamali wapya na waliopo kwenye biashara kusajili kampuni au jina la biashara kupitia BRELA, kupata namba ya mlipa kodi (TIN) kutoka TRA, pamoja na kuhakikisha uendeshaji halali na mzuri kwa kufuata matakwa yote ya kisheria.

📝

Usajili wa Jina la Biashara

Tafuta jina rasmi la biashara yako Tanzania.
Tunakusaidia kuchagua jina, kuandaa nyaraka na kulisajili rasmi BRELA ndani ya muda mfupi.

🏢

Usajili wa Kampuni

Je, unahitaji kuanzisha kampuni Tanzania?
Tunasaidia wawekezaji wa ndani na wageni kusajili kampuni kwa haraka kupitia BRELA pamoja na kufuata masharti ya kisheria baada ya usajili.

💳

TIN & Usajili wa Kodi

Pata TIN namba na usajili wa kodi kwa ajili ya biashara yako.
Tunaratibu mchakato wa TRA kwa niaba yako ili uhakikishe biashara yako imekidhi mahitaji ya kodi Tanzania.

📄

Leseni za Biashara

Pata leseni ya biashara kulingana na aina ya shughuli zako.
Tunakusaidia kuomba leseni kutoka manispaa, halmashauri au mamlaka nyingine husika.

⚖️

Usajili Wa NSSF & WCF

Waajiri wote wanatakiwa kusajili kwa ajili ya NSSF na WCF. Tunakushughulikia kikamilifu — haraka, kwa kufuata sheria, na bila usumbufu.

🔐

Leseni & Vibali Maalum

Tunakusaidia kupata vibali kama vya OSHA, FIRE, TBS pamoja na idhini za uhamiaji — tukikuhudumia kutoka mwanzo hadi mwisho.

💼

Package Ya Kila Kitu

Huduma ya kifurushi kamili kwa unaehitaji usajili wa kila kitu au kwa wawekezaji wa kigeni: usajili wa kampuni, vibali, kodi, ajira na ufuataji wa sheria — kila kitu tunakufanyia kikamilifu.

⚙️

Leseni ya BOT kwa Taasisi ya Mikopo

Unataka kuanzisha biashara ya microfinance? Tunakuongoza kutimiza masharti ya Benki Kuu ya Tanzania na kuwasilisha maombi yenye nguvu.

©️

 Usajili wa Alama ya Biashara (Trademark)

Linda chapa yako kisheria kupitia usajili rasmi wa alama ya biashara. Tunakamilisha mchakato wote wa BRELA kwa niaba yako.

KWANINI UTUCHAGUE V.A BUSINESS CONSULTANTS?

Tunaaminika na wafanyabiashara kote Tanzania, V.A Business Consultants tunatoa huduma za usaidizi wa usajili wa biashara kwa haraka na uaminifu, msaada wa kodi kutoka TRA, na ufuatiliaji wa usajili wa BRELA — huku tukikupa mwongozo katika kila hatua ya mchakato.

Usajili Wa Haraka

Usajili mwingi hukamilika ndani ya saa 48 — ikijumuisha utafutaji wa jina kupitia BRELA na uwasilishaji wa nyaraka.

👩‍💼

Wazoefu

Tukiwa Dodoma, tumesaidia biashara 200+ Tanzania kusajili TIN, TRA na kupata leseni za biashara.

Usaidizi Kamili Baada Ya Usajili

Tunakusaidia kusimamia mahitaji ya kisheria BRELA, TRA, BOT nk baada ya kukamilisha usajili ili kuhakikisha biashara yako inaendelea kukidhi matakwa ya kuendesha biashara kisheria.

✅ Uko Tayari Kuanza Safari Yako ya Kibiashara??

Wasiliana na V.A Business Consultants leo upate msaada wa kitaalamu katika usajili wa biashara, upatikanaji wa leseni, na uzingatiaji wa sheria.

Scroll to Top