Jinsi Ya Kuanzisha Biashara Ya Microfinance
NINI MAANA YA BIASHARA YA MICROFINANCE? Hebu fikiria watu wenye biashara ndogo ndogo, kina mama wa nyumbani na baadhi ya watu wanaopata dharura za haraka za kifedha na wanashindwa kupata mikopo kutoka kwenye benki kubwa kwa sababu ya kutotimiza vigezo na masharti wanapata wapi fedha? Ili kuwasaidia watu wa namna hii waweze kupata mikopo ndio […]
Jinsi Ya Kuanzisha Biashara Ya Microfinance Read More »
